acha nikae kimya
Singer:diamond platnumz
mama ananiambia nasibu mi ni
mtu mzma nawe ndo nakutegemea
yanayotokea jaribu kupiga kimya
mara nasikia vya aibu konda gwajima
kuchunguza karibu ni binti mmoja
najariibu kunyamaza ila moyo hautakii
unanambia eti simba japo unguruma uisemee hakii
ooh najaribu kunyamaza ata lizer ataki yooh
anasema walau nena kidogo hiih
wananambia mbona husemi chochote ah
ama ulezi unafanya uogope ah
wanalalama kiongozi atoke eh
niende wapi na mi mtoto wa wote
najitahidi epuka yasije nicost
japo mengine swadakta mengine hayana maana
hata nyimbo yake sikuweza ipost
ila alivokamatwa iliniumiza sana
uongo na ukweli unashonwa
ananiambia walau nena kidogo
niende kwa mangi nunua supergate eh
napewa za chini ya carpet
kuna radio imevamiwa eti eh
wanabishana tu mambo ya vyeti
sa tofauti za nini tushikamane tukaijenge tanzania