baba lao

diamond platnumz

s2kizzy baby!

ayoo lizer

dangote baba lao

simba baba lao

chibu baba lao

mondi baba lao

eeeh zombie baba lao

magufuli baba lao

makonda baba lao

wasafi chama lao

ngoma kwa ngoma ni kopo koko

leo ndani twakesha popo

waiter tasambazia moko moko

moja baridi

moja moto

mmechoka eti?

mnataka lala?

tungi limezidi?

tuzime muziki?

asa twende kisamugile

sambamba

hapo vipi inabamba?

inogile inatamba

basi chanika musamba

eeeh! wataweza kweli?

kushindana nasi?

hata wakiungana?

matusi kututukana?

dangote baba lao

simba baba lao

chibu baba lao

mondi baba lao

eeeh zombie

magufuli baba lao

mwakyembe baba lao

wasafi chama lao

hajib selema

adija selema

mondi nyangema

shimo ametema

amefosi bifu mseleleko

amebaki masononeko

kwanza kunja goti

kisha vua shati

cheza kama monkey

vunja ukidanki danki

eeeh! tumewachapa

hakichomoki

kimewanasa

wanatapatapa

chizi karogwa tena! chizi. chizi karogwa tena eeeh!

chizi karogwa tena! chizi. chizi karogwa tena eeeh!

chizi karogwa tena! chizi. chizi karogwa tena eeeh!

chizi karogwa tena! chizi. chizi karogwa tena eeeh!

dangote baba lao

simba baba lao

chibu baba lao

mondi baba lao

eeeh zombie baba lao

magufuli baba lao

majaliwa baba lao

wasafi chama lao

mzuka ukipanda na hili shati navua

mzuka ukipanda na hili bukta navua

jamani navua

mama navua

mwenzenu navua

eeeeh! kuna basata

basi napiga yope

ooooh! napiga yope

iyobo napiga yope

mi napiga yope

eeeeh

tale napiga yope

mi napiga yope

momo napiga yope

fungwe napiga yope

eeeeh

Full Lyrics: baba lao - diamond platnumz