baila

diamond platnumz

kama unanipenda sana

umaarufu weka mbali

na ile nyumba ni ya mama

hivyo usiwaze madale

isiwe kesho madrama

napigiwa simu na tale

hadi insta natukanwa

umeshaanzisha kwale

moyo wangu

mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

moyo wangu

nateseka sana nayempenda akinidharau

moyo wangu

hodari wa kugawa wa kunipa sina

moyo wangu

ndio maana nasisitiza usije na wewe

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

muziki vita

hawataki niendelee

hivyo ukipata nafasi

tafadhali niombee

na nyumbani visa

ndugu zangu wazoee

itaniumiza nafsi

ikifikia musiongee

na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao

tahadhari sana

si unajua wanamuziki vitabia vyao

wamejawa tamaa

oh na! na dada zangu mawifi

chunga nyendo zao

usipelekwe mlama

wakikwambia kaniki mara chota nyayo

jua mumewe nakwama

ah. utamu wa big g ni kutafuna

usimeze uroda

ongeza tu bidii kunikuna

sio kuniroga

kunikomba zaidi

pika nguna nitaleta mboga

unipe na kabibi kwetu suna

nishushie na soda

moyo wangu

mwepesi kupenda ila ngumu kusahau

moyo wangu

nateseka sana nayempenda akinidharau

moyo wangu

hodari wa kugawa wa kunipa sina

moyo wangu

ndio maana nasisitiza usije na wewe

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

usiseme u love me

then you lying

usiseme u love me

then you lying

usiseme u love me

then you lying

usiseme u love me

then you lying

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

baila baila baila

baila baila baila

baila baila baila

baila mama

obrigado.