gongo la mboto

Singer:diamond platnumz

poleni wale usiku hatujalala

wale mabomu yamewapa madhara

yalosababisha maafa viro hasara

poleni sana ndugu zangu

mpaka sasa hawana pakulala

watoto bado njaa hawajala

tuzidishe uda na maombi nyingi sala

poleni sana ndugu zangu

poleni wale usiku hatujalala

wale mabomu yamewapa madhara

yalosababisha maafa viro hasara

poleni sana ndugu zangu

mpaka sasa hawana pakulala

watoto bado njaa hawajala

tuzidishe uda na maombi nyingi sala

poleni sana ndugu zangu

eh! mola ona wanao tunakwenda

eh! tunakwenda tunakwenda

tunakwenda tunakwenda

kila siku matatizo abba tushike mikono

walosema idadi ya watu kadhaa

eti wengine maje raha

ona wegine wamejifungua

masikini moja bado

shida za maisha si usiku si mchana

na majanga yanazidi twandama

huku majukumu yame

tanzania oh mama aaah!

kuhusu maidha si usinu si mchana

na majanga yanzidi twandama

huku majukumu yame

tanzania oh mama eyeee!

poleni wale usiku hatujalala

wale mabomu yamewapa madhara

yalosababisha maafa viro hasara

poleni sana ndugu zangu

mpaka sasa hawana pakulala

watoto bado njaa hawajala

tuzidishe uda na maombi nyingi sala

poleni sana ndugu sana

enyi watanzania wazalendo wa nchii hii

akuambiaye usikombe mboga siku zote anataka ushibe

nani anasema usiku mmoja hauozeshi nyama

huyo tumegeukie na kumtazame mara mbili maana ametudanganya

pole nchi yangu

pole tanzania

poleni sana gongo la mboto

ingekua hadithi ningesema 'paukwa'

nikaanza kuwaongopea

ningekua mwana siasa ningesimama jukwaani nakuwaambia nichagueni mimi

lakini hizi ni roho za watu haya ni maisha

poleni sana gongo la mboto ndugu zangu watanzania

apasuaye nguo lazima awe fundi wa kushona

kilichotokea mbagala siku ile

watu walizani cinema kule mikoani

lakini kule gongo la mboto

hakuna aliyekumbuka viatu wala kumshika mwanae

hakuna aliyekumbuka mume wala kumbusu mkewe

najua tanzania tunavuma kwa ukarimu na upole japokua ni masikini

lakini uisikia 'puumuuu' ujue kimeshatokew gongo la mboto

tudhihirishe ukarimu wetu na kuitolea gongo la mboto

mungu ibariki tanzania

mungu ibariki gongo la mboto

eyeeee!

poleni wale usiku hatujalala

wale mabomu yamewapa madhara

yalosababisha maafa viro hasara

poleni sana ndugu zangu

mpaka sasa hawana pakulala

watoto bado njaa hawajala

tuzidishe uda na maombi nyingi sala

poleni sana ndugu zangu