inama

diamond platnumz

ayolizer

kukudekeza kama mtoto

furaha unafurahia

alafu geuka moto

machozi unalia

mwembamba mwenene

uwe na pesa kama dangote

penzi halijali umasikini

laweza penda mtu yoyote

penzi sio somo

ukasome kwa kitabu

penzi limefanya harmonize

afukuzishe mwarabu

penzi oyoyo

limeleta kwa wanangu vita

siku hizi siwaoni

naishia kuwalike insta

hivo asiyekupenda

achana naye

anayekupenda

pendana naye

mambo stress

ya nyumba ndani

ebu cheza ufurahi

kama songi limekolea

asa inama

ebu pinda mgongo

oya inama

basi pinda mgongo

asa inama

ebu pinda mgongo

kama tungi limepoza

oya inama basi pinda mgongo

toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins

ba cadeaux

ba je t'aime tout le temps

mawe eleka wapi bebe na nga aza presente

soucis eleka wapi? cherie na ngai azali ehhh

tango nyonso e'belaka nga je t'aime

baloba basilika oh

baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!

baloba basilika oh

baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!

cherie aza kitoko

cherie aza elengi trop

cherie aza kitoko

cherie aza elengi trop

parfois l'amour est complique mais cherie a moi est toujours romantique

asa inama

ebu pinda mgongo

oya inama basi pinda mgongo

asa inama

ebu pinda mgongo

oya inama basi pinda mgongo

asa nionyeshe unanyonga je

nyonga

nyonga kibasikeli

nyonga kaa kibasikeli

nyonga kama kibasikeli

ah kiuno kifanye pedeli

nyonga

nyonga kibasikeli

nyonga kaa kibasikeli

nyonga kama kibasikeli

ah nyonga

na kupinda mgongo

nyonga

nyonga kibasikeli

nyonga kaa kibasikeli

nyonga kama kibasikeli

nakucheza ka goma la kashikwa midadi

analishare lishare

analishare lishare

analishare lishare

eh bia za kitonga kachanganya na nyagi

analishare lishare

analishare lishare

analishare lishare

yeah samuel eto'o

didier drogba

wasafi

fally ipupa

tokooosss

toza likolo

bakokoka te