iyena

diamond platnumz

ah leo chereko chereko

mwanenu nimekuwa

zile kuringa mideko itapungua

ahsante mama ulinifunza nkajua

baba kasema kuomba mwiko

raha ya chumvi kununua

tena si kwa nazi

si hirizi za waganga

kwa baraka za baba na mama

tu na dua

waambie paparazi

pingamizi wenye viranga

waliosema hayawi hayawi yamekuwa

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

kwaheri tutaonana

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

ntawakumbuka sana

ooh. ndoa baraka

ukipata ushukuru

maana wanayoililia ni wengi sana

kwetu talaka

kuitoa ni kufuru

nimefunzwa vumilia

niushinde ujana

ili kesho mahususi

kusudi wasinong'one

embu nichumu niringe washushuke

na hii pete ya harusi

nakuvisha waone

wakale sumu

wavimbe wapasuke

ati nashika nanga

nteke nsichomoke ndani

futa namba wablock vimada wa zamani

sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani

waliopanga mwenye nyumba kaja ndani

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

kwaheri tutaonana

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

ntawakumbuka sana

imefika tamati

tulisubiri kitambo

leo samaki

kanasa kwenye chambo

pongezi kwa kamati

yanavutia mapambo

napata picha safi

litanikoma bundle

mwanamke usafi

gaga kulisugua

mume akirudi sharti

viatu kumvua

kitandani marashi

massage kumchua

kisha anza sayansi

viuno kutengua

mambo ya kuzima taa

si mahaba ni kuwanga

washa japo ka mshumaa

mumeo aone shanga

makeup kinanda

kaka suit kama mbunge

mulo changa muda kujipooza na punje

momo ndani shivo amekuja na fumbwe

kula chanda ukishiba ruksa kafunge

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

kwaheri tutaonana

iyena iyena

iyena iyena

iyena iyena

ntawakumbuka sana

saa nataka kusasambua

me nasasambua

aby dad nasasambua mimi

sasambua

tuone

mguu moja juu

usishushe chini

cheza jitazame

sasambua

tuone

aisha kimobitel

nipe za baloteli

nyonga kibaiskeli

sasambua

tuone

akaa kama unashika ukuta

ifanye unashusha

taratibu zungusha

sasambua

tuone

sasambu! sasambu! sasambu!

sasambua

tuone

kama unawasha bajaji

imwagie na maji

tuwakomeshe vizazi

sasambua

tuone

Full Lyrics: iyena - diamond platnumz