fanya wainama isha rotate
tuwaoneshe sinema wakina fetty
aaahh eeehh nataka kwenye kwa chupachu
kitandani mwendo kwachu kwachu
nichanganye uone nowe fyatu fyatu
ili penzi walikome mpaka kuna kuchaa
uko teketeke kama bwakira
ooh tale nipe chuzi la chuku chuku ninywe
mushedede mutu kutwa zame kwenye kisimaa
alivyo nyodo nyodo kama kobee
nimufatie banana kwakina nana
baby papasa kichwa jusi kafirii
na ulivyo jazwa nyuma fungu mbiliii