kamwambie
diamond platnumz
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
so ningeamuru nyota na mbalamwezi
natamani ila tatizo siwezi
huenda ingefanya anielewe
kwa nyimbo nzuri nimuimbie
burudani na fedha mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
burudani na fedha mimi akanichukia mmh
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
nasema siku hizi wala hakuna fungate
hivyo mwambie wanaopenda wachache
uuh wanaanzaga kwa tafadhali
nenda mwambie ajihadhari na dua njema namuombea
burudani na fedha mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
burudani na fedha mimi akanichukia mmh
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
aa haa jinsi navyompenda mi aa haa