kanyaga

diamond platnumz

it's platnumz

zombie

it's s2kizzy baby

ati kanyaga ka ana pigo za unafiki

kanyaga kama mmbeya asiye rafiki

kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi

hakulishi

hakuvishi kwani vipi?

kanyaga

wazee wa shobo kudandia

kanyaga

klabu kuomba omba bia

kanyaga

slay queens vitisho vya bandia

ukivipa hai ati madai vinavimbia

kanyaga!

uzushi

kanyaga!

mashemu feki

kanyaga!

nuksi

kanyaga!

kudadadeki

kanyaga!

mawifi

kanyaga!

mpaka ma ex

kanyaga!

mikosi

kanyaga!

woooya kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

yii

kanyaga! kanyaga!

kama unalicheza zanku

kanyaga! kanyaga!

wale wakuda wadaku

kanyaga! kanyaga!

yeah

kidaku daku

kanyaga! kanyaga!

wajue hizi namba chafu

woo

woiyo ooh woiyo ooh

woo

woiyo ooh woiyo ooh

ooh yeah eeh

siku hizi watu wanataka money

so nikimuita aku kosti

kanyaga!

kunitumia mipicha pigo gani?

ati basi day nikuposti

kadi za harusi kuchanga changa

kanyaga!

wakati mwenyewe nina majanga

kanyaga!

sina godoro sina kitanda

ati nikuchangie kodi kwenda kupanga

kama buti la mugambo

kanyaga!

wavuruga mipango

kanyaga!

wazee wa insta michambo

ati 'baby niunge bando'

kanyaga!

uzushi

kanyaga!

mashemu feki

kanyaga!

nuksi

kanyaga!

kudadadeki

kanyaga!

mawifi

kanyaga!

mpaka ma ex

kanyaga!

mikosi

kanyaga!

woooya kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

kanyaga! kanyaga!

yii

kanyaga! kanyaga!

kama unalicheza zanku

kanyaga! kanyaga!

wale wakuda wadaku

kanyaga! kanyaga!

yeah

kidaku daku

kanyaga! kanyaga!

wajue hizi namba chafu

i say leeeooo. usiku hatulali

tunakesha kama popo

leo

leo

tena wape na bare

kama wao pakasi kwako

asa timba

timba timba

wanangu timba

wao kula kushoto

kula kulia

i say timba

timba timba

oyaa wahuni timba

kama unazikili

mchaka kabisa akili

kimya!