kizaizai
Singer:diamond platnumz
kumbe yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponi eeh
kumbe yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponi eeh
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate
eiih! mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
ya mwenzako sikia ila yasikupate
dunia chungu kufa utatamani
eiih! mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate
eiih! mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
ya mwenzako sikia ila yasikupate
and this is hit from tanzania