kosa langu
Singer:diamond platnumz
barua yako uliyotuma kwa ricardo momo nimeisoma
ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma
huku roho yangu inansonona
pia funguo umeirudisha sawa
simu niziweke kituo na sio chaguo
umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia
mbona ukanichimbia kaburi
natamani hata ningepata nafasi
mwenzako wimbi limenipiga kasi
wee ndio ulikuwa furaha yangu
tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina
sawa na gari lisio na gear
ndio maana siishi kulalama
moyo wangu umevunjika una magongo
kila sehemu nayoshika kinyamazongo
hata chozi likifutika linabaki tongo
najitahidi kulidhika ila nna kinyongo
moyo wangu umevunjika unaa jamani