kwanini?

diamond platnumz

ah! usinione nalia

moyoni naumia

kila siku maugomvi

unanukia mabia

ina maana unataka usema

huu moyo wangu hatambui

thamani ya mapenzi

ndo imegeuka kuwa uadui

nikakuimbia nyimbo bado

nkakupa moyo bado

nikakupa life

na true love

ila baby bado

nikakuimbia nyimbo bado

nkakupa moyo bado

nikakupa life

na true love

ila baby bado

ukose raha

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

nishachoshwa na haya mapenzi

visa mara mia kwa mwezi

mara leo limekwisha hili

kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine

choshwa na haya mapenzi

visa mara mia kwa mwezi

leo limekwisha hili

kesho lingine eh!

you just don't know

naumia umia umia umia umia

eeeh ah!

you don't know

naumia umia umia umia umia

hiiiii. ukose raha

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

kwanini ukose raha?

kisa

kupendwa nawe

Full Lyrics: kwanini? - diamond platnumz