lala salama

Singer:diamond platnumz

lala salama

matatizo

chuki

lawama

uki la lala salama

kumbatia picha yangu

kama ukinikumbuka sana

nipige simu yangu

uki! uki la lala salama

kumbatia picha yangu

matatizo

chuki

lawama

vumilia mpenzi wangu

najua wivu ndio mapenzi

ila chunga usizidi

si unajua kwako sijiwezi

ila dhiki imebidi

mi nili tamani si ni kuwa nawe

tuwe wote usiku na mchana

kilichofanya mi nipagawe

sina chcochote cha kuwalisha wana

niliupokea kwaunyonge

msiba wakaka bona

ile barua yako wa mwisho

ilinitonesha vidonda

usijali

nilai kipenzi changu

ukazani nimekumbwa

na pepo la starehe

mambo bado magumu kwangu

afadhali hata ya jana

ya kesho niombe

uki la lala salama

kumbatia picha yangu

kama ukinikumbuka sana

nipige simu yangu

uki! uki la lala salama

kumbatia picha yangu

matatizo

chuki

lawama

vumilia mpenzi wangu

ile 'kuo uone'

nilidhani maghorofa

ah! kumbe mwana ukome

hakuna cha kuokota

mi bado nakaza moyo changu kipenzi

ilia naumia kwa kuwa mwenyewe

natamani ila siwezi

nazitafuta nije kula na wewe

msalimu mama nyumbani

usisema kama nahenya

tai! mfiche mpe imani

karibu ntakuo chema

usijali

nilai kipenzi changu

ukazani nimekumbwa

na pepo la starehe

mambo bado magumu kwangu

afadhali hata ya jana

ya kesho niombe

uki la lala salama

kumbatia picha yangu

kama ukinikumbuka sana

nipige simu yangu

uki! uki la lala salama

kumbatia picha yangu

matatizo

chuki

lawama

vumilia mpenzi wangu