mapenzi basi

diamond platnumz

mi mwenzenu tena basi

oh mapenzi sitaki

oh mwenzenu tena basi

basi sitaki

yalinifanya nikaugua

mara napanga napangua

mwili ukakonda nikapungua

ah sikulala

sikulala

oh maradhi nikaugua oh

yakanichoma na kuungua roho

kutwa nawaza na kuwazua

sikulala

hayo mapenzi bwana

hayana maana

yalinifanya mi nichekwe

sababu yake nshagombana

nikatukanwa

lakini akanipiga teke

ai haya mapenzi bwana

hayana maana

yalinifanya mi nichekwe

sababu yake nkagombana

usiku mchana

yeye

mi mwenzenu tena basi

oh mapenzi sitaki

oh mwenzenu tena basi

basi sitaki

oh nilishagombana na mama mzazi

akataka nimwagia radhi

sababu yule fulani

yule wa moyo wangu

yakaleta zengwe kwa kazi

ugomvi wa simba na panzi

vurugu kwa majirani

ah

ee mola wangu

hayo mapenzi bwana

hayana maana

yalinifanya mi nichekwe

sababu yake nshagombana

nikatukanwa

lakini akanipiga teke

ai haya mapenzi bwana

hayana maana

yalinifanya mi nichekwe

sababu yake nkagombana

usiku mchana

yeye

mi mwenzenu tena basi

oh mapenzi sitaki

oh mwenzenu tena basi

basi sitaki