pra saber como e que anda
nija moja hapa kwetu silika ndugu zangu
heshima kwa wenzenu upendo la udugo
mtindo ukitoka muungano kuchochea
tuchese kwa umoja usalama na kwa raha
eu sei porque eu sei do valor
wenyeji watoto duniani tunaishi
shikana kwa mikono na maracatu
amkeni kumekucha matajiri maskini
wadogo kwa wakubwa kila moja suluhishi
waume na wakike vijana na wazee
wenyeji watoto duniani tunaishi
shikana kwa mikono na maracatu
eu sei porque eu sei do valor
feliz e quem bate o tambor