mawazo

diamond platnumz

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

maana

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

mara

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

ah sikujua mapenzi balaa

tena ni maradhi ya moyo kupendaga

tena mapenzi karaha

yanajenga chuki na choyo kwenye cover

utu wangu na thamani

ina maana kweli hakuvijua

licha ya burudani

ya mapenzi yangu akatimua

utu wangu na thamani

ina maana kweli hakuvijua

uhuni jaa burudani mtaani

akaamua kutimua

inaniuma sana

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

maana

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

mara

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

yule jini kisirani kaingia

kwenye utamu wa penzi langu

ameleta tafarani naumia

nalia na moyo wangu

ona jini kisirani kaingia

kwenye utamu wa penzi langu

ameleta tafarani. mwenzenu nalia na moyo wangu!

kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia

kweli wapendanao ndo maadui zikitimia

lile tinga langu la maraha

leo limekuwa sumu kwangu

ona tena sina raha

ninacheka nnalia na moyo wangu

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

maana

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

ningekuwa na uwezo

ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

mara

mchana kutwa hata usiku silali

mapenzi kwangu kikwazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo

utu wangu na thamani

ina maana kweli hakuvijua

licha ya burudani

ya mapenzi yangu akatimua

utu wangu na thamani

ina maana kweli hakuvijua

licha ya burudani

ya mapenzi yangu akatimua

Full Lyrics: mawazo - diamond platnumz