na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu
ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
ukakata kabisa na shina la penzi langu nana
ukaona bora uniache mimi na uolewe
ile siku shekhe namuona anachoma ubani
unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
ile siku shekhe namuona anachoma ubani
unavishwa pete unakua mke wa fulani
machozi nlolia kwa uchungu wa penzi langu na
utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu ma
ah naskia hivi sasa una mtoto anaitwa mamu
vile akinuna mpaka atabasamu
mi mwenzako tena mapenzi mi sina hamu
tena na mpango wa kuhama dar es salaam
niepuke vita na walimwengu