moyo wangu
diamond platnumz
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
upole wangu simanzi eeehee
kwa kukupenda maradhi eeehee
lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina
jichoni kwangu kibanzi eeehee
licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina
ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso
tena hata kupenda sina raha
masikini penzi langu gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
ili mradi tu tara tantalila
kutwa nzima na mawazo gina
mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama
tamu ya wali ni nazi eeeeee
raha ya supu maandazi eeeeeeee
raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa
na napata na radhi eeeeee
nawakufuru wazazi eeeeeee
kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa
masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie
masikini penzi langu gina nilishakata na kauli roho inatoka
kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa