mpaka kesho

harmonize

hello

hello baby

mmmh mmmh

natamani niandike barua na niitume kwako

ila nahisi hutaisomaa

utaikataa

hata simu nitajisumbua

kupiga namba yako

maana hata ukiiona

utaikata

i wish yawe ndoto

haya ninayo yapitia

ama nirudi utoto imenisonga dunia

eti kurwa bila ndoto

hivi ni wapi ntaanzia?

kulia bila kushoto

sijawai kusikia

eeh

imagine siwezi kukuota

maana ata usingizi sina

mwenzako wataniokota

maji yamenizidi kina

mpaka kesho

eeh eeh

mpaka kesho

umeniganda mawazoni

mpaka kesho

bado nakuwazaa

mmh mmh eeh

mpaka kesho

yaani mawazo kizunguzungu

mpaka kesho

insta napaona pachungu

mpaka kesho

mateso nihurumie

bado nakuwaza

nishajaribu kudanga nipoteze mawazo

huenda nitaenjoy

kumbe najivua utu na heshima

kwa watabibu waganga

nijue nini chanzo

mwenzako nipo hoi

ama nyota yangu butu

makali sina

eeeh

zile nadhiri

kwamba utaniweka moyoni zinajirudia

mie ndio moja we mbili

mbona sasa sikuoni

umenikimbia

mie mwenzako ka sabuni kichelema

siezi ata kupangusa ah ah

jeraha la penzi nachechema

sina furaha ata ya kunusa ah ah

yaani umeniacha dillema

siwezi kupanda kushusha ah ah

yaani mapenzi vitaa

ccm na chademaa

firauni na musa ah ah

eeh

imagine siwezi kukuota

maana ata usingizi sina

mwenzako wataniokota

maji yamenizidi kina

mpaka kesho

eeh eeh

mpaka kesho

umeniganda mawazoni

mpaka kesho

bado nakuwazaa

mmh mmh eeh

mpaka kesho

yaani mawazo kizunguzungu

mpaka kesho

insta napaona pachungu

mpaka kesho

mateso nihurumie

bado nakuwaza

wa kumove on nitakuwa mie

yaani ipite siku nisikufikirie

kuku unfollow nitaweza mie?

kwenye page yako nisichungulie eeh