nataka kulewa

Singer:diamond platnumz

we niache niende niende

niende niende

niache niende niende

niende niende

uh

usiniulize kwanini

sababu utanizingua

ukitaka jiunge na mimi

kama ni pesa we kunywa nitanunua

mi mwanzo sikuamini

nikajuaga vya kuzua

kumbe mjinga ni mimi

ninayetunza wenzangu wanachukua

oh mapenzi

yalinifanya kama mtoto nilie vibaya

mie siwezi

walionikuta waniache nisemee jina

oh mapenzi

yalinifanya kama mtoto nilie vibaya

na nina mengi

ah yamenikaa moyoni

leo nataka kulewa

lewa

mi nataka kulewa

lewa

nataka kulewa

lewa

zikipanda nimwage radhi

nataka kulewa

lewa

mi nataka kulewa

lewa

nataka kulewa

lewa

zikipanda nimwage radhi

we niache niende niende

niende niende

niache niende niende

niende niende

mi kwa mapenzi maskini

nikamvisha na pete kwa kumuoa

kukata vilimi-limi

vya wazushi wanafiki wanaomponda

kumbe mwenzangu na mimi

ni bure tu najisumbua

si tuko kama ishirini

mabuzi ving'asti wengine anawahonga

oh mapenzi

yalinifanya kama mtoto nilie vibaya

mie siwezi

walionikuta waniache nisemee jina

oh mapenzi

yalinifanya kama mtoto nilie vibaya

na nina mengi

ah yamenijaa moyoni

leo nataka kulewa

lewa

mi nataka kulewa

lewa

nataka kulewa

lewa

zikipanda nimwage radhi

nataka kulewa

lewa

mi nataka kulewa

lewa

nataka kulewa

lewa

zikipanda nimwage radhi

we niache niende niende

niende niende

niache niende niende

niende niende

Lyric Context: nataka kulewa - diamond platnumz