natamani

diamond platnumz

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

mara nyingi peke yangu nawaza

namuomba mungu nisije kukwaza

nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma

chei! tena usiku mzima nalia darling

napiga goti kwa mola nasali

azidi tupe baraka tusije kosa dona

eh! mi macho yangu

nimejaliwa mboni lakini nuru sina

ningekuwa na uwezo

ningefanya kazi nikuhudumie

upofu wangu ndio kikwazo kikubwa

mwenzako raha sina

lakini unanijali

mbali na mengi unanipenda sana

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

nasikia kuna rangi ya upendo

ili upendwe kuna pozi za mwendo

utanashati

udambudambu na urembo mi sina

mi natamani nitazame

kwa ardhi na mbingu nilalame

nipande mawingu na niliname

uwenda nikaona

eh! mi macho yangu

nimejaliwa mboni lakini nuru sina

ningekuwa na uwezo

ningefanya kazi nikuhudumie

upofu wangu ndio kikwazo kikubwa

mwenzako raha sina

lakini unanijali

mbali na mengi unanipenda sana

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

mi kweli natamani siku iwezekane

nfumbue macho mi kuona

nijue sababu gani

unanipenda sana

wakati siwezi mi kuona?

nikuone mama

niweze tazama

everybody say

eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

i love you

nakupenda

tena! eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

i love you

nakupenda

say

eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

eh eh eh eh eh eh

i love you

nakupenda