ni sawa na kuiforce sinema
kuitazama na haijanivutia
nenda kulia ukiniona kushoto
donda vilia utanchochea tu moto
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
nkasema penzi tujenge lisije loa
najitia mkandarasi naezeka mabati
wewe chini kenchi unabomoa
najitahidi nisilale kwenye kitanda
huenda ntapunguza ndoto zako
mwilini nina machale utadhani mwanga
laiti kama ningekuwa gari
nkung'ate sura wasiitamani
hivi wewe ungo ulivunja mwali
kuniundia mateam kwa mitandao
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
nkasema penzi tujenge lisije loa
najitia mkandarasi naezeka mabati
wewe chini kenchi unabomoa
ntakudanganya kwa tabasamu
ntakudanganya hata kwa salamu
nitakudanganya kukufollow
nitakudangaya kulike picha