nikuone

diamond platnumz

mangapi niliona

wala sikujali

nikafumba macho

na tena yaliyonchoma

maumivu makali

manyanyaso

si mzima wa nafsi

siwezi kudanganya

uwepo wako

unanifanya nalia

fanya urudi basi

japo kuntazama

oh

me mwenzako

ukweli naumia

kinachiniongeza kizunguzungu

hata huniwazi

kutwa nakesha nikimuomba mungu

wallah simanzi

kinachoniongeza mawazo

hata huniwazi

kutwa nakesha nikilalamika

njoo basi nikuone

nikuone

nikuone

nikuone

ukowapi nikuone

nikuone

nikuone

nikuone

oh

na roho yangu inaenda

manjegere manjegere manjegere

ah

roho yangu

manjegere manjegere manjegere

nimekukumbuka sana

oh

manjegere manjegere manjegere

mwenzio roho yangu

manjegere manjegere manjegere

hata silali

kutwa nzima nawaza

kisa nini darling

kama sikukupa raha

bado sijajua

namaliza naianza

nijapo tafakari

njoo uniwashie taa

kiza kitaniua

muda mwingine nakesha tuu macho

usingizi sina

ikinijiaga tu sura yako

huwa nazizizma

mpaka nashikwa

kigagaziko hata maneno kuyaongea

yote sababu ya masikitiko

haki ya mungu unanionea

kinachiniongeza kizunguzungu

hata huniwazi

kutwa nakesha nikimuomba mungu

wallah simanzi

kinachoniongeza mawazo

hata huniwazi

kutwa nakesha nikilalamika

njoo basi nikuone

nikuone

nikuone

nikuone

ukowapi nikuone

nikuone

nikuone

nikuone

oh

na roho yangu inaenda

manjegere manjegere manjegere

ah

roho yangu

manjegere manjegere manjegere

nimekukumbuka sana

oh

manjegere manjegere manjegere

me mwenzio roho yangu

manjegere manjegere manjegere

hata silali

niliyoyasikia ya leo

makubwa

afadhali ya jana

makubwa

huwaga naona kwa video

makubwa

aah. ni mazito mama

niliyoyasikia ya leo

makubwa

afadhali ya jana

makubwa

huwaga naona kwa video

oh

na roho yangu inaenda

manjegere manjegere manjegere

ah

roho yangu

manjegere manjegere manjegere

nimekukumbuka sana

oh

manjegere manjegere manjegere

me mwenzio roho yangu

manjegere manjegere manjegere

eeh. hata silali

Full Lyrics: nikuone - diamond platnumz