nimpende nani?
diamond platnumz
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua
naogopa sana vichanga wa sasa
kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
wazuri ni wengi lakini kumpata
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
wazuri ni wengi lakini kumpate
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
yasiwe kama ya wema sepetu
ajue nidhamu na mila ya kwetu
usimtake ka 'uwoya nimteme ana hasira
ila sauti ka' wema akiwa analia
naogopa sana vichanga wa sasa
kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
wazuri ni wengi lakini kumpata
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
wazuri ni wengi lakini kumpate
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua