mikono hadi kichwa kiufupi mazima
mahututi kabisa hata mashaka sina
nikiaminii tutatengwa na maulana
sa mbona wanilipa majonzi
yani stress mapombe nilewe
we ndio wangu yesu mkombozi
sa mbona petro unaniacha mwenyewe
kisicho kuua ukukomaza eti kiuaskari
maana jua linapo angaza ndio sina afadhali
ooh ooh! najitahidi kumsinga mwali
ooh ooh! penzi letu sie la kibatari
kwanini sa tunagombana sweet
niambie labda nitende kipi
ridhiki mafungu saba na la kwangu sita
sikutoshi labda kukuridhisha
sa mbona wanilipa majonzi
yani stress mapombe nilewe
we ndio wangu yesu mkombozi
sa mbona petro unaniacha mwenyewe