sijaona

Singer:diamond platnumz

ati niende kwa mganga

ntoe doti za kanga

ama nikufunge kamba

ntadanganya mie eh

nyumbani nifuge mamba

mara mlinzi kwa panga

kuchunga usije danga

uwongo nisikwambie

moyo wangu

usiufanye njia oh

ukapita

oh

nitaumia

shamba langu

wakanivunia

yote tisa

ukanibeza na kukimbia

tena unga ujengezi

usitishe na sana

ukaninyima malezi

nikakosa hata raha

nikaanza kuvunja nazi

kutwa kuchwa kafara ah

nililie kipenzi

yakukunda

karaha

sijaona

sijaona

sijaona

kama wewe

juwa mimi

sijaona

sijaona

sijaona

kama wewe

refa kapiga kipenga

ronaldo punguza chenga

kuku tulia kwa tenga

mbwembwe tupa kule

na upunguze kujiremba

wasije wakakupenda

kuna warabu wapemba

ukanisusa bure

nisiwe napata tabu

chemsha mawe

kumaliza kuni eh

kumbe kung'aa dhahabu

kuichoma sio sabuni

nishajipaga moyo

wewe ndio mwisho wa reli

basi jifunze choyo

wasije nikejeli

uwezo wangu wa toyo mie

sijafikia meli

acha wacheze loyal

sie kwetu singeli

moyo wangu

usiufanye njia oh

ukapita

sana nitaumia

shamba langu

wakanivunia oh

kesho wakaja kukuteka

na matusi kunitupia

juwa mwenzako mimi

sijaona

sijaona

sijaona

kama wewe

unajua mimi

sijaona

sijaona

sijaona

kama wewe

hasa mose kunambi

alele

alele

alele

agah mkubwa fella

alele

alele

alele

tiffah dangote

alele

alele

alele

makame fumbwe

alele

alele

alele