oooh waiteeeeeeeeeeeeee eh!
waambie wekundu wa msimbazi
anashangilia ushindi umekuja!
anashangilia ushindi umekuja!
anashangilia ushindi umekuja!
agaah! wahuni wanarukaruka
wanashangilia ushindi umekuja!
na tutamfunga yoyote atakae kaa mbele
si wanawashwa tutawakuna upele
chenga na pasi ndo zetu kama mbele
oh magoli mashuti kama pele
oooh! wataweza wapi jamaa
waambie wekundu wa msimbazi
wanashangilia ushindi umekuja!
wanashangilia ushindi umekuja!
anashangilia ushindi umekuja!
wanashangilia ushindi umekuja!
naipenda simba mshabiki wa damu
naipenda simba mshabiki wa damu
me mwenzenu mshabiki wa damu
naipenda simba mshabiki wa damu
nani baba wanangu nani baba
nani baba wanangu nani baba
nani bingwa wa nchi nani bingwa
nani bingwa wa nchi nani bingwa
kama unaipenda simba puliza vuvuzela
we kama unaipenda simba peperusha bendera
ah kama unaipenda simba puliza vuvuzela basi
we kama unaipenda simba peperusha
asa twende peperusha bendera
oooh waiteeeeeeeeeeeeee eh!
hii ndo timu yenye mashabiki wengi east africa
na yenye makombe mengi east africa and central
iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano makubwa afrika