tetema
Singer:diamond platnumz
nipe migandisho ya roboti
ukutani hadi kwenye kochi
kwenye giza mama shika tochi
aiii.! mama! shigidi! konki.!
kama mwizi kakupiga ngeta
mwendo wa kutwanga kupepeta
chini nikipuliza tarumbeta
maria rosa doza tungi limekoza
funga kibindo mkwiji kwiji