mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa sinabudi nielewe
siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu
kutwa nzima moyo unanidunda dunda
eeeeeeehhhhhhhhhh ukimwona
we nenda mwambie marafiki
nilipoteleza nkakosa sipajui
na akaamua kuondoka sitambui
mbona ka macho ataona chochote
kutwa nzima moyo unanidunda dunda
eeeeeehhhhhhhhhh ukimwona