mi kweli natamani siku iwezekane
mara nyingi peke yangu nawaza
namuomba mungu nisije kukwaza
nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma
tena usiku mzima nalia darling
napiga goti kwa mola nasali
azidi tupe baraka tusije kosa dona
mi macho yangu nimejaliwa mboni lakini nuru sina
ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie
upofu wangu ndo kikwazo kikubwa
mbali na mengi unanipenda sana
mi kweli natamani siku iwezekane
nasikia kuna rangi ya upendo
ili upendwe kuna pozi za mwendo
udambudambu na urembo mi sina
kwa ardhi na mbingu nilalame
nipande mawingu na niiname
mi macho yangu nimejaliwa mboni lakini nuru sina
ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie
upofu wangu ndo kikwazo kikubwa
mbali na mengi unanipenda sana
mi kweli natamani siku iwezekane
every body say ee-eeh ee-eh ee