utanipenda
Singer:diamond platnumz
ooh ghafla visenti sina nimerudi tandale
nimeshindwa kulipa bima nimeuza madale
radio nyimbo wamezima tv ndio hataree
walionisifu kwa maneno matamu
ni mitusi tu kwa instagram
hata harmonize nikimpigia
na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa
utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwagwa
navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga
sababu hakuna anaejua kesho
ila ameificha ni confidential
mumeo nisije kuwa kichekesho
ndio adui mkubwa wa kesho
ooooooooh. bado naiwaza sana
zile tunzo mashauzi airport
utadiriki hata japo kunipost
na nikipata sijahis ni mikosi
kwa jakaya kikwete wanafukuzwa watoke
nitavuma tena mambo yanyooke
kwa kukuza habari si unajuagaa
utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
kama naiona michambo ya madem wa zamani
i say. kama namuona mwanangu
kwa mkubwa fella anafukuzwa watoke
sababu hakuna anaejua kesho
ila ameificha ni confidential
mumeo nisije kuwa kichekesho
ndio adui mkubwa wa kesho