zilipendwa
diamond platnumz
oooh hizo ni zama za kale
oooh sangulo na pepe kale
wanataka money ukilipa unakwarua
wanawake wa leo wanataka mikakati
ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati
mapenzi ya video yatakutoa kamasi
eti nikinywa maji nakuona kwenye glass
oooh! hizo ni zama za kale
oooh! sangulo na pepe kale
mtaani sipati sukari guru kabisa
hivi yuko wapi mb dogg wa latiffa
babu tale wapi papa misifa
siku hizi party hatuendagi ibiza
eeeti uuze nyumba uweke heshima bar
eeeti ulazimishe aliyekukataa
ooooh hizo ni zama za kale
ooooh sangulo na pepe kale
una nibeep nikupigie umeiweka vocha
ule wewe nilipe mie umeniona loffa
teena na madada wenye majina acheni visa
unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa
yanini kunichunguza naishi wapi
chapati kwa maini au makapi
kutwa kunikalia chini unda kamati
oh ya rabi masikini kuni dhihaki
vya nini vidomo domo tutupiane tunguli
kisa pesa za mkopo msimu wa magufuli
ooooh hizo ni zama za kale
ooooh sangulo na pepe kale
eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa
tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
zuwena wa zile nyakati eh
kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
wale wapiga madeal sasa hali mbaya
hizi zama za magufuli si za jakaya
ugomvi wa mr.nice na dudu baya
vikatuni vya madenge baba ubaya
wale wazamiaji wale wa melini wazee wa ng'ambo
hivi yuko wapi banjamini wa mambo jambo
wa vietnam waporini vita na rambo
ooooh hizo ni zama za kale
ooooh sangulo na pepe kale